Magix Enga Attacked After Harmonize’s ‘Uno’ Is Pulled Down from YouTube

Magix Enga Attacked After Harmonize’s ‘Uno’ Is Pulled Down from YouTube

Harmonize’s ‘Uno’ has been pulled down from YouTube following claims that the producer of the song stole beats from Magix Enga.

Understandably, there has been some strong reactions to this event with some people even attacking Magix. However, some felt that Magix did the right thing.

Check out some reactions from fans:

richkidd_wizzy_: @magix_enga acha ufala buuga

bryianmcmullin: Ashatoa ingine tena😁😁😁😁 he is unstoppable….. KUSHOTO KULIA🔥🔥🔥..i suggest you mind you local game.

Jaymaudaku: Kum* la mamak* mbwaaa wwww! wanakuti* huko nyuma

Taysonilameck: huyo ni konde angekuwa #simba ungeelewa show😂😂😂😂

_rich_lastborn: you still sample peoples beat I feel una mdomo mob 🤣🤣🤣

Cellebshot: Saa si ata wewe ulisample motigbana ya olomide na hakuwika vile unawika boss, just be the magix enga we used to know, fanya mziki acha sideshows😂😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

kelvin_wayne_kc: uyu magix ata sijui nini watu wanampendea kiburi nani kijana mdogo, uyu nikimpata kwa njia naeza deal na yeye mbaya

Magix Enga (Courtesy)

254 Daily Trends: 🤣🤣🤣🤣uno la magix enga lamkondesha konde boy😂

Abdulrazak Gwotta: Sasa anafanya plagiarism ya nini na ili iweje? Ukiona beat la mtu umelipenda fanya mpango mkubaliane ili maisha yaende vizuri.

Khadija kiba pasua kichwa: Ila kwa nini hamo hakumtafuta waongee ili yaishe

Janeth Juma: Harmonize tatizo ana vimba….Why cant u just sit down with him u tok…us we always praying 4 u konde boy. Wcb we ar still y fans from zambia

Jaden Hhaway: Matatizo yakumalizana na mtu tu jamaa anavimba tu harmo aache kuvimba atapotea kwenye game ya mziki

Ashura Bakiri: Mmmh🙄🙄nashindwa hata la kusema wallah 🤭😭😭😭pole sana konde boy brother,ila hii kwa mara ya kwanza niliposikia nilijua kama huyu jamaa anatania tu!!!ila na hl litapita tu 😔

Karimu Juma: Fitna tutapenya tu na konde wetu mamae

officialskol4lve: io wifuu kijana uache kila m2 nasauti yake nijuu harmoniz amevuuma na io song kuliko wew dio manake 😂😂😂😂😂😂ikikuuma sanaaaa unitafteee😂😂😂😂😂😂
muhorojr.tm: Ungeachana tu na yeye akutengenezee jina bro.But iko tu sawa🍻👊👊

iamkudimyke: Haiya ….so hazikuwa empty threats
Watajuaje simba akionyesha meno sio kucheka anacheka

markson_siro: 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌dont play with Kenyans they don’t give a damn f*ck

juma_tedd’s: Kelele za chura hazi mzui Ngombe kukunywa maji ..😂😂

Leave a Reply

Your email address will not be published.